Romans 8:34

34 aNi nani basi atakayewahukumia adhabu? Al-Masihi Isa aliyekufa, naam, zaidi ya hayo, aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, yuko mkono wa kuume wa Mungu, naye pia anatuombea.
Copyright information for SwhKC